Utunzaji wa rutuba ya udongo katika halmashauri ya wilaya ya Babati Mwongozo kwa vitendo unaohusu utekelezaji wa kanuni bora za kilimo kupitia mifumo ya kilimo kwa wakulima wadogo

Citation

Kihara, J.; Kinyua, M.; Massawe, P.; Kyekaka, J. (2022) Utunzaji wa rutuba ya udongo katika halmashauri ya wilaya ya Babati Mwongozo kwa vitendo unaohusu utekelezaji wa kanuni bora za kilimo kupitia mifumo ya kilimo kwa wakulima wadogo. Nairobi (Kenya): International Center for Tropical Agriculture (CIAT). 54 p.

Permanent link to cite or share this item

External link to download this item

DOI

Abstract/Description

Tumegundua mapungufu mengi ya mavuno katika mashamba ya wakulima na tumepata uzoefu wa changamoto muhimu zinazowakabili wakulima wakati tulipokuwa tunafanya kazi katika mashamba yao, maonyesho kupitia siku ya wakulima, tathmini ya teknolojia shirikishi, ziara za kubadilishana uzoefu na pia kutumia mikutano ya kujadiliana na wakulima. Mavuno mengi yaliyopatikana kutoka kwenye mashamba ya mkulima mmoja mmoja, watafiti kupitia mashamba ya majaribio/ maonyesho na wakulima kujifunza kupitia siku ya wakulima yameonyesha wazi mafanikio ya mavuno kwa wakulima kutokana na kutumia kilimo kinachozingatia Kanuni bora za Kilimo tofauti na wakulima wasiotumia kanuni bora za Kilimo. Matokeo haya mazuri ndiyo yaliyosababisha kuandaliwa kwa mwongozo huu.

Author ORCID identifiers

Contributes to SDGs

SDG 2 - Zero hungerSDG 12 - Responsible consumption and productionSDG 13 - Climate action
Related Material
Related Citation
Kihara, J.; Kinyua, M.; Massawe, P.; Kyekaka, J. (2022) Soil fertility management in Babati: A practical guide on good agricultural management practices in smallholder farming systems. Nairobi (Kenya): International Center for Tropical Agriculture (CIAT). 54 p.

Share

Type

Review Status

Language

sw

Regions

Access Rights

Open Access Open Access

Usage Rights

CC-BY-4.0

Attention